Luka 4:17
Luke 4:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
naye akapewa kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na kukuta mahali palipoandikwa:
Luke 4:17 in English
Luke 4:17 · Berean Standard Bible
the scroll of the prophet Isaiah was handed to Him. Unrolling it, He found the place where it was written:
Context
15Akaanza kufundisha kwenye masinagogi yao, na kila mmoja akamsifu. 16Yesu akaenda Nazareti, alipolelewa, na siku ya Sabato alikwenda katika sinagogi kama ilivyokuwa desturi yake. Akasimama ili asome, 17naye akapewa kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na kukuta mahali palipoandikwa: 18“Roho wa Bwana yu juu yangu,
kwa sababu amenitia mafuta
kuwahubiria maskini habari njema.
Amenituma kuwatangazia wafungwa
kufunguliwa kwao,
na vipofu kupata kuona tena,
kuwaweka huru wanaoonewa, 19na kutangaza mwaka wa Bwana uliokubalika.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.