Luka 4:19
Luke 4:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
na kutangaza mwaka wa Bwana uliokubalika.”
Luke 4:19 in English
Luke 4:19 · Berean Standard Bible
to proclaim the year of the Lord’s favor.”*
Context
17naye akapewa kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na kukuta mahali palipoandikwa: 18“Roho wa Bwana yu juu yangu,
kwa sababu amenitia mafuta
kuwahubiria maskini habari njema.
Amenituma kuwatangazia wafungwa
kufunguliwa kwao,
na vipofu kupata kuona tena,
kuwaweka huru wanaoonewa, 19na kutangaza mwaka wa Bwana uliokubalika.” 20Kisha akakifunga kitabu, akamrudishia mtumishi na akaketi. Watu wote waliokuwamo katika sinagogi wakamkazia macho. 21Ndipo akaanza kwa kuwaambia, “Leo Andiko hili limetimia mkiwa mnasikia.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.