Native Bible

Luke 22:68 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nami nikiwauliza swali, hamtanijibu.

Luke 22:68 in English

Luke 22:68 · Berean Standard Bible

And if I ask you a question, you will not answer.

Context

66Kulipopambazuka, baraza la wazee wa watu,* yaani viongozi wa makuhani na walimu wa sheria, wakakutana pamoja, naye Yesu akaletwa mbele yao. 67Wakamwambia, “Kama wewe ndiye Kristo,* tuambie.” Yesu akawajibu, “Hata nikiwaambia hamtaamini. 68Nami nikiwauliza swali, hamtanijibu. 69Lakini kuanzia sasa, Mwana wa Adamu ataketi mkono wa kuume wa Mungu Mwenye Nguvu.” 70Wote wakauliza, “Wewe basi ndiwe Mwana wa Mungu?” Yeye akawajibu, “Ninyi mwasema kwamba mimi ndiye.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.