Luka 22:70
Luke 22:70 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wote wakauliza, “Wewe basi ndiwe Mwana wa Mungu?” Yeye akawajibu, “Ninyi mwasema kwamba mimi ndiye.”
Luke 22:70 in English
Luke 22:70 · Berean Standard Bible
So they all asked, “Are You then the Son of God?” He replied, “You say that I am.”
Context
68Nami nikiwauliza swali, hamtanijibu. 69Lakini kuanzia sasa, Mwana wa Adamu ataketi mkono wa kuume wa Mungu Mwenye Nguvu.” 70Wote wakauliza, “Wewe basi ndiwe Mwana wa Mungu?”
Yeye akawajibu, “Ninyi mwasema kwamba mimi ndiye.” 71Kisha wakasema, “Tuna haja gani tena ya ushahidi zaidi? Tumesikia wenyewe kutoka kinywani mwake.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.