Native Bible

Luke 22:69 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini kuanzia sasa, Mwana wa Adamu ataketi mkono wa kuume wa Mungu Mwenye Nguvu.”

Luke 22:69 in English

Luke 22:69 · Berean Standard Bible

But from now on the Son of Man will be seated at the right hand of the power of God.”*

Context

67Wakamwambia, “Kama wewe ndiye Kristo,* tuambie.” Yesu akawajibu, “Hata nikiwaambia hamtaamini. 68Nami nikiwauliza swali, hamtanijibu. 69Lakini kuanzia sasa, Mwana wa Adamu ataketi mkono wa kuume wa Mungu Mwenye Nguvu.” 70Wote wakauliza, “Wewe basi ndiwe Mwana wa Mungu?” Yeye akawajibu, “Ninyi mwasema kwamba mimi ndiye.” 71Kisha wakasema, “Tuna haja gani tena ya ushahidi zaidi? Tumesikia wenyewe kutoka kinywani mwake.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.