Native Bible

Luke 22:67 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakamwambia, “Kama wewe ndiye Kristo,* tuambie.” Yesu akawajibu, “Hata nikiwaambia hamtaamini.

Luke 22:67 in English

Luke 22:67 · Berean Standard Bible

“If You are the Christ, tell us.” Jesus answered, “If I tell you, you will not believe.

Context

65Wakaendelea kumtukana kwa matusi mengi. 66Kulipopambazuka, baraza la wazee wa watu,* yaani viongozi wa makuhani na walimu wa sheria, wakakutana pamoja, naye Yesu akaletwa mbele yao. 67Wakamwambia, “Kama wewe ndiye Kristo,* tuambie.” Yesu akawajibu, “Hata nikiwaambia hamtaamini. 68Nami nikiwauliza swali, hamtanijibu. 69Lakini kuanzia sasa, Mwana wa Adamu ataketi mkono wa kuume wa Mungu Mwenye Nguvu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.