Native Bible

Luke 22:66 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kulipopambazuka, baraza la wazee wa watu,* yaani viongozi wa makuhani na walimu wa sheria, wakakutana pamoja, naye Yesu akaletwa mbele yao.

Luke 22:66 in English

Luke 22:66 · Berean Standard Bible

At daybreak the council of the elders of the people, both the chief priests and scribes, met together. They led Jesus into their Sanhedrin * and said,

Context

64Wakamfunga kitambaa machoni na kumuuliza, “Tabiri! Tuambie ni nani aliyekupiga?” 65Wakaendelea kumtukana kwa matusi mengi. 66Kulipopambazuka, baraza la wazee wa watu,* yaani viongozi wa makuhani na walimu wa sheria, wakakutana pamoja, naye Yesu akaletwa mbele yao. 67Wakamwambia, “Kama wewe ndiye Kristo,* tuambie.” Yesu akawajibu, “Hata nikiwaambia hamtaamini. 68Nami nikiwauliza swali, hamtanijibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.