Luka 22:64
Luke 22:64 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakamfunga kitambaa machoni na kumuuliza, “Tabiri! Tuambie ni nani aliyekupiga?”
Luke 22:64 in English
Luke 22:64 · Berean Standard Bible
They blindfolded Him * and kept demanding, “Prophesy! Who hit You?”
Context
62Naye akaenda nje, akalia kwa majonzi. 63Watu waliokuwa wanamlinda Yesu wakaanza kumdhihaki na kumpiga. 64Wakamfunga kitambaa machoni na kumuuliza, “Tabiri! Tuambie ni nani aliyekupiga?” 65Wakaendelea kumtukana kwa matusi mengi. 66Kulipopambazuka, baraza la wazee wa watu,* yaani viongozi wa makuhani na walimu wa sheria, wakakutana pamoja, naye Yesu akaletwa mbele yao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.