Luka 20:42
Luke 20:42 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi: “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume,
Luke 20:42 in English
Luke 20:42 · Berean Standard Bible
For David himself says in the book of Psalms: ‘The Lord said to my Lord, “Sit at My right hand
Context
40Baada ya hayo hakuna mtu aliyethubutu kumuuliza maswali tena. 41Kisha Yesu akawaambia, “Imekuwaje basi wao husema Kristo* ni Mwana wa Daudi? 42Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi:
“ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu:
“Keti mkono wangu wa kuume, 43hadi nitakapowaweka adui zako
chini ya miguu yako.” ’ 44Ikiwa Daudi anamwita yeye ‘Bwana,’ basi atakuwaje mwanawe?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.