Luka 20:44
Luke 20:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ikiwa Daudi anamwita yeye ‘Bwana,’ basi atakuwaje mwanawe?”
Luke 20:44 in English
Luke 20:44 · Berean Standard Bible
Thus David calls Him ‘Lord.’ So how can He be David’s son?”
Context
42Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi:
“ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu:
“Keti mkono wangu wa kuume, 43hadi nitakapowaweka adui zako
chini ya miguu yako.” ’ 44Ikiwa Daudi anamwita yeye ‘Bwana,’ basi atakuwaje mwanawe?” 45Wakati watu wote walikuwa wanamsikiliza, Yesu akawaambia wanafunzi wake, 46“Jihadharini na walimu wa sheria. Wao hupenda kutembea wakiwa wamevaa mavazi marefu, na kusalimiwa kwa heshima masokoni. Hupenda kukaa kwenye viti vya mbele katika masinagogi, na kukaa kwenye nafasi za heshima katika karamu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.