Luka 20:43
Luke 20:43 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’
Luke 20:43 in English
Luke 20:43 · Berean Standard Bible
until I make Your enemies a footstool for Your feet.”’*
Context
41Kisha Yesu akawaambia, “Imekuwaje basi wao husema Kristo* ni Mwana wa Daudi? 42Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi:
“ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu:
“Keti mkono wangu wa kuume, 43hadi nitakapowaweka adui zako
chini ya miguu yako.” ’ 44Ikiwa Daudi anamwita yeye ‘Bwana,’ basi atakuwaje mwanawe?” 45Wakati watu wote walikuwa wanamsikiliza, Yesu akawaambia wanafunzi wake,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.