Native Bible

Luke 20:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Yesu akawaambia, “Imekuwaje basi wao husema Kristo* ni Mwana wa Daudi?

Luke 20:41 in English

Luke 20:41 · Berean Standard Bible

Then Jesus declared, “How can it be said that the Christ is the Son of David?

Context

39Baadhi ya walimu wa sheria wakasema, “Mwalimu, umesema sawasawa kabisa!” 40Baada ya hayo hakuna mtu aliyethubutu kumuuliza maswali tena. 41Kisha Yesu akawaambia, “Imekuwaje basi wao husema Kristo* ni Mwana wa Daudi? 42Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi: “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume, 43hadi nitakapowaweka adui zako chini ya miguu yako.” ’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.