Native Bible

Luke 20:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baada ya hayo hakuna mtu aliyethubutu kumuuliza maswali tena.

Luke 20:40 in English

Luke 20:40 · Berean Standard Bible

And they did not dare to question Him any further.

Context

38Yeye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai, kwa kuwa kwake wote ni hai.” 39Baadhi ya walimu wa sheria wakasema, “Mwalimu, umesema sawasawa kabisa!” 40Baada ya hayo hakuna mtu aliyethubutu kumuuliza maswali tena. 41Kisha Yesu akawaambia, “Imekuwaje basi wao husema Kristo* ni Mwana wa Daudi? 42Daudi mwenyewe anasema katika Kitabu cha Zaburi: “ ‘Bwana alimwambia Bwana wangu: “Keti mkono wangu wa kuume,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.