Luka 20:38
Luke 20:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai, kwa kuwa kwake wote ni hai.”
Luke 20:38 in English
Luke 20:38 · Berean Standard Bible
He is not the God of the dead, but of the living, for to Him all are alive.”
Context
36Hawa hawawezi kufa tena, kwa maana wao ni kama malaika. Wao ni watoto wa Mungu, kwa sababu ni watoto wa ufufuo. 37Hata Mose alidhihirisha kuwa wafu wanafufuka, kwa habari ya kile kichaka kilichokuwa kikiwaka moto bila kuteketea, alipomwita Bwana, ‘Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaki, na Mungu wa Yakobo.’ 38Yeye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai, kwa kuwa kwake wote ni hai.” 39Baadhi ya walimu wa sheria wakasema, “Mwalimu, umesema sawasawa kabisa!” 40Baada ya hayo hakuna mtu aliyethubutu kumuuliza maswali tena.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.