Native Bible

Luke 20:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Baadhi ya walimu wa sheria wakasema, “Mwalimu, umesema sawasawa kabisa!”

Luke 20:39 in English

Luke 20:39 · Berean Standard Bible

Some of the scribes answered, “Teacher, You have spoken well!”

Context

37Hata Mose alidhihirisha kuwa wafu wanafufuka, kwa habari ya kile kichaka kilichokuwa kikiwaka moto bila kuteketea, alipomwita Bwana, ‘Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaki, na Mungu wa Yakobo.’ 38Yeye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai, kwa kuwa kwake wote ni hai.” 39Baadhi ya walimu wa sheria wakasema, “Mwalimu, umesema sawasawa kabisa!” 40Baada ya hayo hakuna mtu aliyethubutu kumuuliza maswali tena. 41Kisha Yesu akawaambia, “Imekuwaje basi wao husema Kristo* ni Mwana wa Daudi?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.