Native Bible

Luke 20:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hawa hawawezi kufa tena, kwa maana wao ni kama malaika. Wao ni watoto wa Mungu, kwa sababu ni watoto wa ufufuo.

Luke 20:36 in English

Luke 20:36 · Berean Standard Bible

In fact, they can no longer die, because they are like the angels. And since they are sons of the resurrection, they are sons of God.

Context

34Yesu akawajibu, “Katika maisha haya watu huoa na kuolewa. 35Lakini wale ambao wamehesabiwa kwamba wanastahili kupata nafasi katika ulimwengu ule na katika ufufuo wa wafu, hawaoi wala hawaolewi. 36Hawa hawawezi kufa tena, kwa maana wao ni kama malaika. Wao ni watoto wa Mungu, kwa sababu ni watoto wa ufufuo. 37Hata Mose alidhihirisha kuwa wafu wanafufuka, kwa habari ya kile kichaka kilichokuwa kikiwaka moto bila kuteketea, alipomwita Bwana, ‘Mungu wa Abrahamu, Mungu wa Isaki, na Mungu wa Yakobo.’ 38Yeye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai, kwa kuwa kwake wote ni hai.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.