Native Bible

Luke 20:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akawajibu, “Katika maisha haya watu huoa na kuolewa.

Luke 20:34 in English

Luke 20:34 · Berean Standard Bible

Jesus answered, “The sons of this age marry and are given in marriage.

Context

32Mwishowe, yule mwanamke naye akafa. 33Sasa basi, siku ya ufufuo huyo mwanamke atakuwa mke wa nani, maana aliolewa na ndugu wote saba?” 34Yesu akawajibu, “Katika maisha haya watu huoa na kuolewa. 35Lakini wale ambao wamehesabiwa kwamba wanastahili kupata nafasi katika ulimwengu ule na katika ufufuo wa wafu, hawaoi wala hawaolewi. 36Hawa hawawezi kufa tena, kwa maana wao ni kama malaika. Wao ni watoto wa Mungu, kwa sababu ni watoto wa ufufuo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.