Native Bible

Luke 20:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwishowe, yule mwanamke naye akafa.

Luke 20:32 in English

Luke 20:32 · Berean Standard Bible

And last of all, the woman died.

Context

30Kisha yule wa pili akamwoa huyo mjane, naye akafa bila mtoto, 31naye wa tatu pia akamwoa. Vivyo hivyo ndugu wote saba wakawa wamemwoa huyo mwanamke, na wote wakafa pasipo yeyote kupata mtoto. 32Mwishowe, yule mwanamke naye akafa. 33Sasa basi, siku ya ufufuo huyo mwanamke atakuwa mke wa nani, maana aliolewa na ndugu wote saba?” 34Yesu akawajibu, “Katika maisha haya watu huoa na kuolewa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.