Luka 18:37
Luke 18:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakamwambia, “Yesu wa Nazareti anapita.”
Luke 18:37 in English
Luke 18:37 · Berean Standard Bible
“Jesus of Nazareth is passing by,” they told him.
Context
35Yesu alipokuwa anakaribia Yeriko, kipofu mmoja alikuwa ameketi kando ya njia akiomba msaada. 36Kipofu huyo aliposikia umati wa watu ukipita, akauliza, “Kuna nini?” 37Wakamwambia, “Yesu wa Nazareti anapita.” 38Akapaza sauti, akasema, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!” 39Wale waliokuwa wametangulia mbele wakamkemea, wakamwambia akae kimya. Lakini yeye akapaza sauti zaidi, “Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.