Native Bible

Luke 18:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu alipokuwa anakaribia Yeriko, kipofu mmoja alikuwa ameketi kando ya njia akiomba msaada.

Luke 18:35 in English

Luke 18:35 · Berean Standard Bible

As Jesus drew near to Jericho, a blind man was sitting beside the road, begging.

Context

33Naye siku ya tatu atafufuka.” 34Wanafunzi wake hawakuelewa mambo haya, kwa kuwa maana yake ilikuwa imefichika kwao, nao hawakujua Yesu alikuwa anazungumzia nini. 35Yesu alipokuwa anakaribia Yeriko, kipofu mmoja alikuwa ameketi kando ya njia akiomba msaada. 36Kipofu huyo aliposikia umati wa watu ukipita, akauliza, “Kuna nini?” 37Wakamwambia, “Yesu wa Nazareti anapita.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.