Native Bible

Luke 18:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kipofu huyo aliposikia umati wa watu ukipita, akauliza, “Kuna nini?”

Luke 18:36 in English

Luke 18:36 · Berean Standard Bible

When he heard the crowd going by, he asked what was happening.

Context

34Wanafunzi wake hawakuelewa mambo haya, kwa kuwa maana yake ilikuwa imefichika kwao, nao hawakujua Yesu alikuwa anazungumzia nini. 35Yesu alipokuwa anakaribia Yeriko, kipofu mmoja alikuwa ameketi kando ya njia akiomba msaada. 36Kipofu huyo aliposikia umati wa watu ukipita, akauliza, “Kuna nini?” 37Wakamwambia, “Yesu wa Nazareti anapita.” 38Akapaza sauti, akasema, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.