Native Bible

Luke 18:38 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akapaza sauti, akasema, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!”

Luke 18:38 in English

Luke 18:38 · Berean Standard Bible

So he called out, “Jesus, Son of David, have mercy on me!”

Context

36Kipofu huyo aliposikia umati wa watu ukipita, akauliza, “Kuna nini?” 37Wakamwambia, “Yesu wa Nazareti anapita.” 38Akapaza sauti, akasema, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!” 39Wale waliokuwa wametangulia mbele wakamkemea, wakamwambia akae kimya. Lakini yeye akapaza sauti zaidi, “Mwana wa Daudi, nihurumie!” 40Yesu akasimama, akawaamuru wamlete huyo mtu kwake. Alipokaribia, Yesu akamuuliza,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.