Luka 18:39
Luke 18:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wale waliokuwa wametangulia mbele wakamkemea, wakamwambia akae kimya. Lakini yeye akapaza sauti zaidi, “Mwana wa Daudi, nihurumie!”
Luke 18:39 in English
Luke 18:39 · Berean Standard Bible
Those who led the way admonished him to be silent, but he cried out all the louder, “Son of David, have mercy on me!”
Context
37Wakamwambia, “Yesu wa Nazareti anapita.” 38Akapaza sauti, akasema, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!” 39Wale waliokuwa wametangulia mbele wakamkemea, wakamwambia akae kimya. Lakini yeye akapaza sauti zaidi, “Mwana wa Daudi, nihurumie!” 40Yesu akasimama, akawaamuru wamlete huyo mtu kwake. Alipokaribia, Yesu akamuuliza, 41“Unataka nikufanyie nini?”
Akajibu, “Bwana, nataka kuona.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.