Native Bible

Luke 1:76 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Nawe mtoto wangu, utaitwa nabii wa Aliye Juu Sana; kwa kuwa utamtangulia Bwana na kuandaa njia kwa ajili yake,

Luke 1:76 in English

Luke 1:76 · Berean Standard Bible

And you, child, will be called a prophet of the Most High; for you will go on before the Lord to prepare the way for Him,

Context

74kutuokoa kutoka mikononi mwa adui zetu, tupate kumtumikia yeye pasipo hofu 75katika utakatifu na haki mbele zake, siku zetu zote. 76“Nawe mtoto wangu, utaitwa nabii wa Aliye Juu Sana; kwa kuwa utamtangulia Bwana na kuandaa njia kwa ajili yake, 77kuwajulisha watu wake juu ya wokovu utakaopatikana kwa kusamehewa dhambi zao, 78kwa ajili ya wingi wa rehema za Mungu wetu, nuru itokayo juu itatuzukia

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.