Luka 1:75
Luke 1:75 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
katika utakatifu na haki mbele zake, siku zetu zote.
Luke 1:75 in English
Luke 1:75 · Berean Standard Bible
in holiness and righteousness before Him all the days of our lives.
Context
73kiapo alichomwapia baba yetu Abrahamu: 74kutuokoa kutoka mikononi mwa adui zetu,
tupate kumtumikia yeye pasipo hofu 75katika utakatifu na haki mbele zake,
siku zetu zote. 76“Nawe mtoto wangu, utaitwa nabii wa Aliye Juu Sana;
kwa kuwa utamtangulia Bwana
na kuandaa njia kwa ajili yake, 77kuwajulisha watu wake juu ya wokovu
utakaopatikana kwa kusamehewa dhambi zao,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.