Native Bible

Luke 1:74 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kutuokoa kutoka mikononi mwa adui zetu, tupate kumtumikia yeye pasipo hofu

Luke 1:74 in English

Luke 1:74 · Berean Standard Bible

deliverance from hostile hands, that we may serve Him without fear,

Context

72ili kuonyesha rehema kwa baba zetu na kukumbuka Agano lake takatifu, 73kiapo alichomwapia baba yetu Abrahamu: 74kutuokoa kutoka mikononi mwa adui zetu, tupate kumtumikia yeye pasipo hofu 75katika utakatifu na haki mbele zake, siku zetu zote. 76“Nawe mtoto wangu, utaitwa nabii wa Aliye Juu Sana; kwa kuwa utamtangulia Bwana na kuandaa njia kwa ajili yake,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.