Native Bible

Luke 1:72 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

ili kuonyesha rehema kwa baba zetu na kukumbuka Agano lake takatifu,

Luke 1:72 in English

Luke 1:72 · Berean Standard Bible

to show mercy to our fathers and to remember His holy covenant,

Context

70kama alivyonena kwa vinywa vya manabii wake watakatifu tangu zamani, 71kwamba atatuokoa kutoka kwa adui zetu, na kutoka mikononi mwao wote watuchukiao: 72ili kuonyesha rehema kwa baba zetu na kukumbuka Agano lake takatifu, 73kiapo alichomwapia baba yetu Abrahamu: 74kutuokoa kutoka mikononi mwa adui zetu, tupate kumtumikia yeye pasipo hofu

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.