Native Bible

Luke 1:70 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kama alivyonena kwa vinywa vya manabii wake watakatifu tangu zamani,

Luke 1:70 in English

Luke 1:70 · Berean Standard Bible

as He spoke through His holy prophets, those of ages past,

Context

68“Ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli, kwa kuwa amewajilia watu wake na kuwakomboa. 69Naye ametusimamishia pembe* ya wokovu katika nyumba ya Daudi mtumishi wake, 70kama alivyonena kwa vinywa vya manabii wake watakatifu tangu zamani, 71kwamba atatuokoa kutoka kwa adui zetu, na kutoka mikononi mwao wote watuchukiao: 72ili kuonyesha rehema kwa baba zetu na kukumbuka Agano lake takatifu,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.