Luka 1:68
Luke 1:68 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli, kwa kuwa amewajilia watu wake na kuwakomboa.
Luke 1:68 in English
Luke 1:68 · Berean Standard Bible
“Blessed be the Lord, the God of Israel, because He has visited and redeemed His people.
Context
66Kila aliyesikia habari hizi alishangaa akauliza, “Je, mtoto huyu atakuwa mtu wa namna gani?” Maana mkono wa Bwana ulikuwa pamoja naye. 67Zekaria, baba yake, akajazwa na Roho Mtakatifu, naye akatoa unabii, akisema: 68“Ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli,
kwa kuwa amewajilia watu wake na kuwakomboa. 69Naye ametusimamishia pembe* ya wokovu
katika nyumba ya Daudi mtumishi wake, 70kama alivyonena kwa vinywa vya manabii
wake watakatifu tangu zamani,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.