Native Bible

Luke 1:67 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Zekaria, baba yake, akajazwa na Roho Mtakatifu, naye akatoa unabii, akisema:

Luke 1:67 in English

Luke 1:67 · Berean Standard Bible

Then his father Zechariah was filled with the Holy Spirit and prophesied:

Context

65Majirani wote wakajawa na hofu ya Mungu, na katika nchi yote ya vilima vya Uyahudi watu walikuwa wakinena juu ya mambo haya yote. 66Kila aliyesikia habari hizi alishangaa akauliza, “Je, mtoto huyu atakuwa mtu wa namna gani?” Maana mkono wa Bwana ulikuwa pamoja naye. 67Zekaria, baba yake, akajazwa na Roho Mtakatifu, naye akatoa unabii, akisema: 68“Ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli, kwa kuwa amewajilia watu wake na kuwakomboa. 69Naye ametusimamishia pembe* ya wokovu katika nyumba ya Daudi mtumishi wake,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.