Luka 1:69
Luke 1:69 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Naye ametusimamishia pembe* ya wokovu katika nyumba ya Daudi mtumishi wake,
Luke 1:69 in English
Luke 1:69 · Berean Standard Bible
He has raised up a horn of salvation for us in the house of His servant David,
Context
67Zekaria, baba yake, akajazwa na Roho Mtakatifu, naye akatoa unabii, akisema: 68“Ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli,
kwa kuwa amewajilia watu wake na kuwakomboa. 69Naye ametusimamishia pembe* ya wokovu
katika nyumba ya Daudi mtumishi wake, 70kama alivyonena kwa vinywa vya manabii
wake watakatifu tangu zamani, 71kwamba atatuokoa kutoka kwa adui zetu,
na kutoka mikononi mwao wote watuchukiao:
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.