Native Bible

Luke 1:71 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwamba atatuokoa kutoka kwa adui zetu, na kutoka mikononi mwao wote watuchukiao:

Luke 1:71 in English

Luke 1:71 · Berean Standard Bible

salvation from our enemies and from the hand of all who hate us,

Context

69Naye ametusimamishia pembe* ya wokovu katika nyumba ya Daudi mtumishi wake, 70kama alivyonena kwa vinywa vya manabii wake watakatifu tangu zamani, 71kwamba atatuokoa kutoka kwa adui zetu, na kutoka mikononi mwao wote watuchukiao: 72ili kuonyesha rehema kwa baba zetu na kukumbuka Agano lake takatifu, 73kiapo alichomwapia baba yetu Abrahamu:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.