Luka 1:77
Luke 1:77 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
kuwajulisha watu wake juu ya wokovu utakaopatikana kwa kusamehewa dhambi zao,
Luke 1:77 in English
Luke 1:77 · Berean Standard Bible
to give to His people the knowledge of salvation through the forgiveness of their sins,
Context
75katika utakatifu na haki mbele zake,
siku zetu zote. 76“Nawe mtoto wangu, utaitwa nabii wa Aliye Juu Sana;
kwa kuwa utamtangulia Bwana
na kuandaa njia kwa ajili yake, 77kuwajulisha watu wake juu ya wokovu
utakaopatikana kwa kusamehewa dhambi zao, 78kwa ajili ya wingi wa rehema za Mungu wetu,
nuru itokayo juu itatuzukia 79ili kuwaangazia wale waishio gizani
na katika uvuli wa mauti,
kuiongoza miguu yetu katika njia ya amani.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.