Native Bible

Luke 1:78 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa ajili ya wingi wa rehema za Mungu wetu, nuru itokayo juu itatuzukia

Luke 1:78 in English

Luke 1:78 · Berean Standard Bible

because of the tender mercy of our God, by which the Dawn * will visit us from on high,

Context

76“Nawe mtoto wangu, utaitwa nabii wa Aliye Juu Sana; kwa kuwa utamtangulia Bwana na kuandaa njia kwa ajili yake, 77kuwajulisha watu wake juu ya wokovu utakaopatikana kwa kusamehewa dhambi zao, 78kwa ajili ya wingi wa rehema za Mungu wetu, nuru itokayo juu itatuzukia 79ili kuwaangazia wale waishio gizani na katika uvuli wa mauti, kuiongoza miguu yetu katika njia ya amani.” 80Yule mtoto akakua na kuongezeka nguvu katika roho; akaishi nyikani hadi siku ile alipojionyesha hadharani kwa Waisraeli.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.