Luka 1:80
Luke 1:80 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yule mtoto akakua na kuongezeka nguvu katika roho; akaishi nyikani hadi siku ile alipojionyesha hadharani kwa Waisraeli.
Luke 1:80 in English
Luke 1:80 · Berean Standard Bible
And the child grew and became strong in spirit;* and he lived in the wilderness until the time of his public appearance to Israel.
Context
78kwa ajili ya wingi wa rehema za Mungu wetu,
nuru itokayo juu itatuzukia 79ili kuwaangazia wale waishio gizani
na katika uvuli wa mauti,
kuiongoza miguu yetu katika njia ya amani.” 80Yule mtoto akakua na kuongezeka nguvu katika roho; akaishi nyikani hadi siku ile alipojionyesha hadharani kwa Waisraeli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.