Native Bible

Luke 1:58 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Majirani zake na jamii zake wakasikia jinsi Bwana alivyomfanyia rehema kuu, nao wakafurahi pamoja naye.

Luke 1:58 in English

Luke 1:58 · Berean Standard Bible

Her neighbors and relatives heard that the Lord had shown her great mercy, and they rejoiced with her.

Context

56Maria akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyumbani kwake. 57Ulipowadia wakati wa Elizabeti kujifungua, alizaa mtoto mwanaume. 58Majirani zake na jamii zake wakasikia jinsi Bwana alivyomfanyia rehema kuu, nao wakafurahi pamoja naye. 59Siku ya nane wakaja kumtahiri mtoto, wakataka yule mtoto aitwe Zekaria, ambalo ndilo jina la baba yake. 60Lakini mama yake akakataa na kusema, “Hapana! Jina lake ataitwa Yohana.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.