Native Bible

Luke 1:59 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Siku ya nane wakaja kumtahiri mtoto, wakataka yule mtoto aitwe Zekaria, ambalo ndilo jina la baba yake.

Luke 1:59 in English

Luke 1:59 · Berean Standard Bible

On the eighth day, when they came to circumcise the child, they were going to name him after his father Zechariah.

Context

57Ulipowadia wakati wa Elizabeti kujifungua, alizaa mtoto mwanaume. 58Majirani zake na jamii zake wakasikia jinsi Bwana alivyomfanyia rehema kuu, nao wakafurahi pamoja naye. 59Siku ya nane wakaja kumtahiri mtoto, wakataka yule mtoto aitwe Zekaria, ambalo ndilo jina la baba yake. 60Lakini mama yake akakataa na kusema, “Hapana! Jina lake ataitwa Yohana.” 61Wakamwambia, “Hakuna mtu yeyote katika jamaa yako mwenye jina kama hilo.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.