Luka 1:61
Luke 1:61 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakamwambia, “Hakuna mtu yeyote katika jamaa yako mwenye jina kama hilo.”
Luke 1:61 in English
Luke 1:61 · Berean Standard Bible
They said to her, “There is no one among your relatives who bears this name.”
Context
59Siku ya nane wakaja kumtahiri mtoto, wakataka yule mtoto aitwe Zekaria, ambalo ndilo jina la baba yake. 60Lakini mama yake akakataa na kusema, “Hapana! Jina lake ataitwa Yohana.” 61Wakamwambia, “Hakuna mtu yeyote katika jamaa yako mwenye jina kama hilo.” 62Basi wakamfanyia Zekaria baba yake ishara ili kujua kwamba yeye angependa kumpa mtoto jina gani. 63Akaomba wampe kibao cha kuandikia na kwa mshangao wa kila mtu akaandika: “Jina lake ni Yohana.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.