Luka 1:63
Luke 1:63 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akaomba wampe kibao cha kuandikia na kwa mshangao wa kila mtu akaandika: “Jina lake ni Yohana.”
Luke 1:63 in English
Luke 1:63 · Berean Standard Bible
Zechariah asked for a tablet and wrote, “His name is John.” And they were all amazed.
Context
61Wakamwambia, “Hakuna mtu yeyote katika jamaa yako mwenye jina kama hilo.” 62Basi wakamfanyia Zekaria baba yake ishara ili kujua kwamba yeye angependa kumpa mtoto jina gani. 63Akaomba wampe kibao cha kuandikia na kwa mshangao wa kila mtu akaandika: “Jina lake ni Yohana.” 64Papo hapo kinywa chake kikafunguliwa na ulimi wake ukaachiwa, akawa anaongea akimsifu Mungu. 65Majirani wote wakajawa na hofu ya Mungu, na katika nchi yote ya vilima vya Uyahudi watu walikuwa wakinena juu ya mambo haya yote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.