Luka 1:62
Luke 1:62 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi wakamfanyia Zekaria baba yake ishara ili kujua kwamba yeye angependa kumpa mtoto jina gani.
Luke 1:62 in English
Luke 1:62 · Berean Standard Bible
So they made signs to his father to find out what he wanted to name the child.
Context
60Lakini mama yake akakataa na kusema, “Hapana! Jina lake ataitwa Yohana.” 61Wakamwambia, “Hakuna mtu yeyote katika jamaa yako mwenye jina kama hilo.” 62Basi wakamfanyia Zekaria baba yake ishara ili kujua kwamba yeye angependa kumpa mtoto jina gani. 63Akaomba wampe kibao cha kuandikia na kwa mshangao wa kila mtu akaandika: “Jina lake ni Yohana.” 64Papo hapo kinywa chake kikafunguliwa na ulimi wake ukaachiwa, akawa anaongea akimsifu Mungu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.