Native Bible

Luke 1:60 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini mama yake akakataa na kusema, “Hapana! Jina lake ataitwa Yohana.”

Luke 1:60 in English

Luke 1:60 · Berean Standard Bible

But his mother replied, “No! He shall be called John.”

Context

58Majirani zake na jamii zake wakasikia jinsi Bwana alivyomfanyia rehema kuu, nao wakafurahi pamoja naye. 59Siku ya nane wakaja kumtahiri mtoto, wakataka yule mtoto aitwe Zekaria, ambalo ndilo jina la baba yake. 60Lakini mama yake akakataa na kusema, “Hapana! Jina lake ataitwa Yohana.” 61Wakamwambia, “Hakuna mtu yeyote katika jamaa yako mwenye jina kama hilo.” 62Basi wakamfanyia Zekaria baba yake ishara ili kujua kwamba yeye angependa kumpa mtoto jina gani.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.