Native Bible

Luke 1:57 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ulipowadia wakati wa Elizabeti kujifungua, alizaa mtoto mwanaume.

Luke 1:57 in English

Luke 1:57 · Berean Standard Bible

When the time came for Elizabeth to have her child, she gave birth to a son.

Context

55Abrahamu na uzao wake milele, kama alivyowaahidi baba zetu.” 56Maria akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyumbani kwake. 57Ulipowadia wakati wa Elizabeti kujifungua, alizaa mtoto mwanaume. 58Majirani zake na jamii zake wakasikia jinsi Bwana alivyomfanyia rehema kuu, nao wakafurahi pamoja naye. 59Siku ya nane wakaja kumtahiri mtoto, wakataka yule mtoto aitwe Zekaria, ambalo ndilo jina la baba yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.