Luka 1:56
Luke 1:56 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Maria akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyumbani kwake.
Luke 1:56 in English
Luke 1:56 · Berean Standard Bible
Mary stayed with Elizabeth for about three months and then returned home.
Context
54Amemsaidia mtumishi wake Israeli,
kwa kukumbuka ahadi yake ya kumrehemu 55Abrahamu na uzao wake milele,
kama alivyowaahidi baba zetu.” 56Maria akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyumbani kwake. 57Ulipowadia wakati wa Elizabeti kujifungua, alizaa mtoto mwanaume. 58Majirani zake na jamii zake wakasikia jinsi Bwana alivyomfanyia rehema kuu, nao wakafurahi pamoja naye.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.