Native Bible

Luke 1:54 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amemsaidia mtumishi wake Israeli, kwa kukumbuka ahadi yake ya kumrehemu

Luke 1:54 in English

Luke 1:54 · Berean Standard Bible

He has helped His servant Israel, remembering to be merciful,

Context

52Amewashusha watawala toka kwenye viti vyao vya enzi, lakini amewainua wanyenyekevu. 53Amewashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri, bali matajiri amewafukuza mikono mitupu. 54Amemsaidia mtumishi wake Israeli, kwa kukumbuka ahadi yake ya kumrehemu 55Abrahamu na uzao wake milele, kama alivyowaahidi baba zetu.” 56Maria akakaa na Elizabeti karibu miezi mitatu, kisha akarudi nyumbani kwake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.