Native Bible

Luke 1:52 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Amewashusha watawala toka kwenye viti vyao vya enzi, lakini amewainua wanyenyekevu.

Luke 1:52 in English

Luke 1:52 · Berean Standard Bible

He has brought down rulers from their thrones, but has exalted the humble.

Context

50Rehema zake huwaendea wale wamchao, kutoka kizazi hadi kizazi. 51Kwa kuwa ametenda mambo ya ajabu kwa mkono wake; amewatawanya wale wenye kiburi ndani ya mioyo yao. 52Amewashusha watawala toka kwenye viti vyao vya enzi, lakini amewainua wanyenyekevu. 53Amewashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri, bali matajiri amewafukuza mikono mitupu. 54Amemsaidia mtumishi wake Israeli, kwa kukumbuka ahadi yake ya kumrehemu

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.