Native Bible

Luke 1:51 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa kuwa ametenda mambo ya ajabu kwa mkono wake; amewatawanya wale wenye kiburi ndani ya mioyo yao.

Luke 1:51 in English

Luke 1:51 · Berean Standard Bible

He has performed mighty deeds with His arm; He has scattered those who are proud in the thoughts of their hearts.

Context

49kwa maana yeye Mwenye Nguvu amenitendea mambo ya ajabu: jina lake ni takatifu. 50Rehema zake huwaendea wale wamchao, kutoka kizazi hadi kizazi. 51Kwa kuwa ametenda mambo ya ajabu kwa mkono wake; amewatawanya wale wenye kiburi ndani ya mioyo yao. 52Amewashusha watawala toka kwenye viti vyao vya enzi, lakini amewainua wanyenyekevu. 53Amewashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri, bali matajiri amewafukuza mikono mitupu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.