Luka 1:53
Luke 1:53 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Amewashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri, bali matajiri amewafukuza mikono mitupu.
Luke 1:53 in English
Luke 1:53 · Berean Standard Bible
He has filled the hungry with good things, but has sent the rich away empty.
Context
51Kwa kuwa ametenda mambo ya ajabu kwa mkono wake;
amewatawanya wale wenye kiburi
ndani ya mioyo yao. 52Amewashusha watawala toka kwenye viti vyao vya enzi,
lakini amewainua wanyenyekevu. 53Amewashibisha wenye njaa kwa vitu vizuri,
bali matajiri amewafukuza mikono mitupu. 54Amemsaidia mtumishi wake Israeli,
kwa kukumbuka ahadi yake ya kumrehemu 55Abrahamu na uzao wake milele,
kama alivyowaahidi baba zetu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.