Luka 1:50
Luke 1:50 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Rehema zake huwaendea wale wamchao, kutoka kizazi hadi kizazi.
Luke 1:50 in English
Luke 1:50 · Berean Standard Bible
His mercy extends to those who fear Him, from generation to generation.
Context
48kwa kuwa ameangalia kwa fadhili
unyonge wa mtumishi wake.
Hakika tangu sasa vizazi vyote vitaniita aliyebarikiwa, 49kwa maana yeye Mwenye Nguvu
amenitendea mambo ya ajabu:
jina lake ni takatifu. 50Rehema zake huwaendea wale wamchao,
kutoka kizazi hadi kizazi. 51Kwa kuwa ametenda mambo ya ajabu kwa mkono wake;
amewatawanya wale wenye kiburi
ndani ya mioyo yao. 52Amewashusha watawala toka kwenye viti vyao vya enzi,
lakini amewainua wanyenyekevu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.