Native Bible

Luke 1:49 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kwa maana yeye Mwenye Nguvu amenitendea mambo ya ajabu: jina lake ni takatifu.

Luke 1:49 in English

Luke 1:49 · Berean Standard Bible

For the Mighty One has done great things for me. Holy is His name.

Context

47nayo roho yangu inamfurahia Mungu Mwokozi wangu, 48kwa kuwa ameangalia kwa fadhili unyonge wa mtumishi wake. Hakika tangu sasa vizazi vyote vitaniita aliyebarikiwa, 49kwa maana yeye Mwenye Nguvu amenitendea mambo ya ajabu: jina lake ni takatifu. 50Rehema zake huwaendea wale wamchao, kutoka kizazi hadi kizazi. 51Kwa kuwa ametenda mambo ya ajabu kwa mkono wake; amewatawanya wale wenye kiburi ndani ya mioyo yao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.