Luka 1:47
Luke 1:47 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
nayo roho yangu inamfurahia Mungu Mwokozi wangu,
Luke 1:47 in English
Luke 1:47 · Berean Standard Bible
and my spirit rejoices in God my Savior!
Context
45Amebarikiwa yeye aliyeamini kwamba lile Bwana alilomwambia litatimizwa.” 46Naye Maria akasema:
“Moyo wangu wamwadhimisha Bwana, 47nayo roho yangu inamfurahia
Mungu Mwokozi wangu, 48kwa kuwa ameangalia kwa fadhili
unyonge wa mtumishi wake.
Hakika tangu sasa vizazi vyote vitaniita aliyebarikiwa, 49kwa maana yeye Mwenye Nguvu
amenitendea mambo ya ajabu:
jina lake ni takatifu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.